Thursday, August 20, 2009

Caster Semenya

Bingwa wa mita mia nane ambaye amezua gumzo huko Berlin ujerumani eti dada huyu ni anaonekana sio mwanamama eti mwanaume ukimwangali kwa haraka lweli anavitu vyote ambavyo unaweza kusema ni mwanaume lakini jinsia ni ya kike kwa mujibu wa wenzake wanaokaa nae kwenye hoteli moja hata alipokuwa capetown Airport alipotaka kwenda msalani wahudumu waliomwonyesha choo cha wanaume lakini akawaambia yeye ni binti lakini uongozi wa IAAF wamesema watapima vipimo vya DNA ilikujua ukweli

No comments:

Post a Comment