Saturday, August 29, 2009

NAM MULTIMEDIA INAKUJA


Mkurugenzi wa Murtimedia studio akiwa anarekebisha mambo katika studio yake ambayo ipo nyumbani kwake Mwananyamala nyuma hospitali.


Mkurugenzi wa wa multimedia studio akiwa mtangazaji wa TBC international Erica Jason katika studio hizo .

Studio hiyo inataraji kuanza kazi hivi kalibuni vilevile itajishughuri Music katika video hivi kalibuni.

No comments:

Post a Comment