Thursday, August 20, 2009

MEMORY PICTURE


Unaweza kusema anfanya matembezi au anaangalia shughuli zinazo endelea pale feri lakini hapana mkuu wa mkoa mh Lukuvi akiangalia hali ya hewa na usalama kabla Mh rais ajafika kufungua mv kigamboni miezi takliban minne iliyopita

No comments:

Post a Comment