Friday, August 28, 2009

KUKOSA AJIRA KUNA MADHARA JAMANI SASA HUYU KAAMUA KULALA

Ongezeko la upungufu wa ajira nchini japan umeongezeka kwa` 5.7% hii ni kutokana bei ya watumiaji bidhaa kushuka tofauti na takwimu zilizo tolewa hii karibu makampuni yameendelea kupungza watau ingawaje uchumi umerejea katika hali yake ya kawaida baada ya kupata mtikiso hivi karibun i ikiwa ni zadi ya miongo kadhaa.
. chumi wa japani umekuwa agenda kuu katika kampeni mbalimbali nchini humo kula za maoni zinasema chama cha kidemokrasia cha liberal kinatajiwa kushindwa uchaguzi mkuu ambapo kimeongoza nchi kwa takriban mika 5 3 katika miaka Hmsini na nne iliyopita
Jumla ya watu , 3,590,000 wamekosa kazi nchini japan , ni mamilioni ya watu ukilinganisha na miaka ya nyuma
Uchumi wa japani umekuwa kwa 0.9% katika miezi ya April na June, lakini takwimu zilizo tolewa hivi karibuni zinatia mashaka


No comments:

Post a Comment