Wednesday, August 19, 2009

HILI NDIO ZIWA NYASA

Naam unaonahapo juu hili ndio ziwa nyasa yaaani naamanisha NYASALANDA ziwa lilo barikwa kuwa na samaki wenye mafuta kama, kambale, mbufu, vitui na wengineo wengi samaki ambao huitaji kutumia mafuta hasa ukiwa banika kwenye moto kwa mfano wa nyama choma Hakika ni utajiri uliopo ndani ya Tanzania .
Unaweza kuona milima ilvyopendeza misitu yakuvutia ni mungu tu alivyoipendelea mkoa wa Ruvuma hapa ni mbaba bay kuleakea chiulu hadi kwambe ,Tipwili ,Chiwanda mpaka kwa ,wamatengo


No comments:

Post a Comment