Friday, October 29, 2010

TFF KUWA MWENYEJI WA KOZI ZA WAAMUZI!!





Pichani ni kaimu katibu mkuu na kaimu afisa habari wa tff na mkurugenzi wa ufundi wa tff akifafanua jambo kuhusu ya semina hiyo ya waamuzi.

Shirikisho la kandanda la tanzania linatarajia kuwa mwenyeji wa kozi za waamuzi zitakazo hapa tanzania ,Safari hii tunayo kozi ya wakufunzi ya waamuzi na uongozi kwa waamuzi na ukomavu wa mwili wa wamuuzi fifa imekuwa na utaratibu wakujiongoza lakini katika uongozi mkuu vipengele hivyo vitakwenda sambamba na kozi hizo zitaanza tarehe nane hadi tarehe kumi na tatu na kutakuwa na washiriki kutoka ETHIOPIA ,ERITREA, MALAWI, SYSCHELS, NA SOMALIA na wafukunzi wa kozi hizo watatoka ,uingereza, misri,afrika kusini kayuni amesema kuwa mwenyeji wa semina hiyo watapata upendeleo wa kuingiza waamuuzi wengi kushiriki semina hiyo na wanatarajia kupata mambo mengi ikiwa pamoja na kuongeza ufahamu katika uongozi wa wamuuzi.

No comments:

Post a Comment