Monday, October 25, 2010

ASAMOAH WAMECHELEWA WENYEWE



Mkurugenzi wa ufundi wa tff akifafanua swala la mchezaji wa klabu ya ynga asamoah ambaye ajapata ITC tf imesema kuwa usajiri unafanywa na vilabu fifa kwa mtandao na sio tff kama hawakupata itc ni wao ndio waliochelewa kwa hiyo wanatakiwa kusubiri dilisha dogo mwakani iliwapate itc kutokana na mfumo mpya wa usajiri dunia.

No comments:

Post a Comment