Tuesday, October 19, 2010

TFF NJI HII ITASAIDIA IKIWA MTAITILIA MKAZO

 
SHIRIKISHO LA KANDANDA LA TANZANIA SASA LIMEAMUA KUANDAA MASHINDANO YATAKAYOWEZA KUINUA KIWANGO CHA SOKA HASA KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI SUNDAY KAYUNI NI MKURUGENZI WA UFUNDI WA SHIRIKISHO LA KANDANDA ANAZUNGUMZIA KWA KINA PROGRAME HIYOKUWA ITAKUWA CHACHU YA KULETA MAENDELEOA KWA MPIRA HASA KWA VIJANA WA JINSIA ZOTE MBILI KWANI ITAKUWA IKISIMAMIWA NA SHIRIKILISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
AIDHA KWA UPANDE MWINGINE AMESEMA KUWA WASICHANA NAO WATAPATA FURSA YA KUONYESHA UWEZO WAO NA WATAPEWA MECHI NYINGI ZAIDI NA WAMEGAWANYA MAKUNDI KATIKA MICHEZO YA KIMIKOA AMBAPO KINONDONI MAKONGO SEKONDARI,TEGETA SEKONDARI NA MPIGI MAGOE SEKONDARI ILALA KUTAKUWA NA MAJANI YA CHAI,AIR WING ,DAR ES SALAA SEKONDARI,AZANIA SEKONDARI,TEMEKE TUTAKUWA NA JITEGEMEE,KIBASILA,KIGAMBONI,NA CHAMAZI,WASICHANA KUTAKUWAPO NA TIMU ZA TWIGA SEKONDARI, GOBA , MKAPA ZINGIWA KIBASILA NA CHAMAZI AIDHA AKACHUKUA NAFASI KULUZEA MAMBO KADHAA YALIYOJADILIWA KATIKA MKUTANO ULIFANYIKA CAIRO MISRI KUHUSU HASA KUHUSU CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA MAENDELEO YA  SOKA KATIKA NCHI MBALIMBALI ZA AFRIKA HUKU MFANO MZURI UKITOLEWA KWA NCHI YA GHANA KWA KUTUNZA VIAPAJI VYA SOKA
HUU UTAKUWA MWANZO MZURI KWA TFF KULETA MAFANIKIO KATIKA SOKA





No comments:

Post a Comment