Kiungo mshambuliaji wa manchester united akishangilia goli la utata katika mechi ya ligi kuu ya uingereza ambako man u imeizamisha toternham hotspurs magoli mawili kwa sifuri lakini totenham walimshtumu mwamuzi kwa kusema kuwa alikuwa goli sahihi mwamuzi wa mchezo huo Mark Clattenburg alimfwata msaidizi ambaye aliinyoosha kibendera kuashairia mkanganyiko usiolewa weka lakini manchester ilibidi ipewe pernaty lakini wakati nani akiwa chini alikamata mpira kwa mkono huku kipa wa spurs akiamni kuwa ampewa free kick na kuuachia mpira wake kwenye mikono na luis kuunyatia mpira na kufunga .
matokeo mengine ni
• Arsenal
1-0
West Ham United
•
Blackburn Rovers
1-2
Chelsea
• Everton
1-0
Stoke City
• Fulham
2-0
Wigan Athletic
• Wolverhampton
2-1
Manchester City
• Manchester United
2-0
Totenham hotspurs
No comments:
Post a Comment