Saturday, October 30, 2010

KAZI YA MUNGU AINA MAKOSA





Kocha msaidizi wa timu ya Simba, super coach, Syllersaid Mziray amefariki dunia leo asubuhi akiwa katika hospital ya Aga khan alikokuwa amelazwa.kocha huyo maarufu ambaye alikuwa mshauri mkuu wa simba alifikwa na umauti huo baada ya kuugua kwa muda mrefu. kwa habari zaidi ungana nasi baadaye  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,
Amen.

K-sport inawatakiwa pole familia ya mziray na wadau wa soka kwa msiba huu

No comments:

Post a Comment