Naibu waziri wa habari utamaduni na michezo joel nkaya bendera akimkabidhi nahodh wa timu ya taifa sophia mwasikile bendela ya jamhuri ya muungano wa tanzania na cd ya wimbo wa taifa kupesha yaliyotukuta na moroco alipokua akiiga leo katika ukumbi wa tff timu hiyo inaondoka leo kwnda gaborone botswana kucheza mechi ya kirafiki na botswana na baadae kulekea nchni afrika kusini kushiliki michuano ya mataifa ya frika ya wanawake yanayoanza mwezi nomvemba mwaka huu,nyuma mh bendera mkurugunzi wa ufundi wa tff sunday kayuni
viongozi wa timu ya taifa chales boniface mkwasa ambaye ni kocha mkuu wa timu anayeonekana mikono,anayefuata mwenyekiti wa chama cha soka vcha wanawake lina madina mhando anayemfuta ni naibu waziri joel bendera ,mkurugenzi wa ufundi wa tff sunday kayuni na na brand manager wa serengeti breweries nandi mwiyombera ambaye amekabidhi cheya pesa kwa wiga stars yenye thamani ya shilingi 97,13,500 kwa msafara wa tmu hiyo
No comments:
Post a Comment