Pichani ni mseamji wa klabu ya yanga luis sendeu akizungumzia swala la mchezaji keneth asamoah ambaye amekosa baadhi ya mechi za klabu hiyo za msimu huu baada ya kukosa ITC Leseni ya kimataifa ya kufanyia kazi nchi kutoka klabu yake ya zamani ya serbia sendeu amesema kumetokea matatizo tu ya kiufundi kuhusu mitandao lakini maboma yatakuwa sawa hivi karibu lakinisendeu amesisitiza kuwa kuna baadhi ya vyombo vya habari vimeandika kuwa mcheza wa yanga amefumaniwa gesti nakusistiza kuwa jambo hilo halipo na halitatokea ni uzushi mtupu
No comments:
Post a Comment