Wednesday, April 28, 2010

HUYU NDIYE RAIS SIMFII BALI UNAMWENYEWE



JK akiifariji familia ya Marehemu Evaristi Semeni mtoto mwenye umri wa miaka 11 kumi na moja aliyefariki katika ajali ya kugongwa na gari juzi jioni katika kijiji cha Msoga ambapo yeye pamoja na watoto wengine wawili walifariki dunia.Semeni alikuwa mwanafunzi katika shule ya msingi Msoga.
familia ya Marehemu Evaristi Semeni(11) mmoja kati ya watoto watatu walifariki kwa ajali ya kugongwa na lori katika kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo,juzi jioni. JK alizitembelea familia za marehemu na kuwafariji

No comments:

Post a Comment