
Kaka angalia hicho kidole chako hapo juu kitakuletea matatizo mbele ya safari shauri yako

Poleni sana mlipamba vizuri lakini ndio hivyo mtoto wenu wenyewe ndio kawaadabisha

Hivi kadi ninazo nyingi mkaleta ujinga nitabaki peke yangu kiwanja

Xavi bado moja tukaze buti tunaweza kushinda hii mechi

kipa huyu kama nanihii vilee.......... julio cesar

kaka tunapiga mipira sio chupa ndugu yangu sasa hiyo chupa inamakosa gani ?

Refa sasa naona unanionea kajiangusha mwenyewe wanadeka sana!

hiyo kadi uliyoiona hapo juu faulo ndio hii

baada ya kuguswa jamaa anaaza kuangakua

jama kalala chini kashika uso wake maaba ya kufanyiwa madhambi
No comments:
Post a Comment