SERIKALI YATOA TAMKO JUU YA MGOMO WA WAHADHIRI KATIKA BAADHI YA VYUO NCHINI
KATIBU MKUU OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI. YA UTUMISHI WA UMMA, MH. GEORGE YAMBESI AKITOA TAMKO LA SERIKALI JUU YA MGOMO WA WAHADHIRI WA BAADHI YA VYUO VIKUU NCHINI USIKU WA KUAMKIA LEO OFISINI KWAKE JIJINI DAR. PAMOJA NAYE NI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI BW. CLEMENT MSHANA.
No comments:
Post a Comment