Sunday, October 10, 2010

CHUKUA KIATU BWANA MDOGO



Mchezaji wa timu ya taifa ya moroco sikuweza kuapata jina lake akimpatia kiatu cha mpira alichochezea baada ya mechi hiyo kwisha kijana ambaye anaulemavu wa ngozi ambaye hayupo pichani kushoto huyo aliyevaa suti ndiye asikalai aliyenifanya nishindwe kufanya interview na mshambuliaji wangu wa arsenal maroune chamakh

No comments:

Post a Comment