Thursday, July 29, 2010

KWAHERI PHIRI(PIRI) KARIBU MILOVAN CURKOVIC


UMUONAE PICHANI NI EVODIUS MTAWALA AFISA UTAWALA AU KAIMU KATIBU MKUU WA SIMBA

kifupi ni kwamba inaonekana kama klabu ya simba itamwitaji tena baadae kocha raia wa zambia patrick phiri(piri) kwani imemwandikia barau yakumuomba ajiuzuru huku milovan curkovic akiandikwa kandarasi ya miaka miwili katika klabu ya simba kwa mijibu wa kaimu katibu mkuu phiri alibakisha miezi mitatu na walimpa masaa ishirini na nne iliaweza kurudi kuitumikia klabu hiyo kitu ambacho simba wanadai hakufanya kwani phiri ametoa sababu kuwa anashhurikia matatizo ya binafsi kisheria ilibidi afukuzwe kazi lakini simba wanasema ni wema wao tuu ndio umewafanya kumuandikia barua ya kumuomba ajiuzuru kiti kinachoonekana kama njia znuri ya kumrejesha endapo kama itaboronga iliimrudishe kilahisi Muito Obligado simba.

No comments:

Post a Comment