TIMU YA TAIFA YA WANAUME IMEPATA TENA BAHATI YA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI AMBAYO ITAKUWA KATIKA KALENDA YA FIFA AMBAPO SASA IMEPATA BAHATI TENA KUCHEZA NA MAFARAO WA MISRI MCHEZO UTAKAO CHEZWA HUOK CAIRO NCHINI MISRI KATIKA KUJIPIMA NGUVU ILIKUJIAANDA NA MICHUANO YA KUFUZU FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA.
No comments:
Post a Comment