Afisa habari wa klabu ya soka simba sports Cliford mario Ndimbo alipokuwa anataja kikosi cha klabu ya soka simba ya jijini dar es salaam
lakini kubwa zaidi ni kutokuwemo kwa jina la mchezaji raia ya wa kenya Mike Barasa ya la msingi kama jina hili lingekuwemo simba ingekuwa iko nje ya utaratibu wa tff wa kusajiri wachezaji wa kigeni aidha kwa upande kipa wa maarufu kama Dida akufika katika usajiri kwa maana hiyo amejiondoa yeye mwenyewe
Chini ni Majina ya wachezaji wa simba
1 JUMA KASEJA JUMA
2 ALLY MUSTAPHA
3 RAMADHAN SHAMTE
4 SALUM KANONI
5 JUMA JABU
6 AMIR MAFTA
7 KELVIN YONDAN
8 JUMA NYOSO
9 JOSEPH OWINO
10 DAUDI MAFTAR
11 MOHAMED BANKA
12 ABDUKHALIM HAMOUD
13 JERRY SANTO
14 HILLARY ECHESA
15 AMRI KIEMBA
16 SHIJA MKINA
17 NICO NYAGAWA
18 RASHID GUMBO
19 UHURU SULEMANI
20 GILLA SALUM AZIZ
21 MUSSA HASSANI MGOSI
22 EMANUEL OKWI
23 PATRICK OCHAN
24 MBWANA SAMATTA
25 MOHAMED KIJUSO
26 KELVIN HAULE
NEW PLAYERS ;-
- AMIR MAFTAH
- ABDULKHALM HAMOUD
- SHIJA MKINA
- PATRICK OCHAN
- KELVIN HAULE
- RASHID GUMBO
- MBWANA SAMATTA
No comments:
Post a Comment