Sunday, July 18, 2010

YANGA MMEPATA VIONGOZI SASA NI KUFANYA MIPANGO YA KUCHEZA SOKA SI KELELE TENA



Mwenyekiti mpya wa Yanga Loyd Nchungaakishukuru wanchama kwa kumchagua usiku wa kuamkia leo ukumbi wa PTA HAll jijini Dar





Makamu mwenyekiti mpya wa YANGA,kibopa Davies Mosha, akishukuru wanachama



Francis Kifukwe akiondoka na mfadhili mkuu wa
YANGA Yusuf Manji eneo la tukio baada ya kujitoa kugombea.

No comments:

Post a Comment