Viongozi wa klabu ya simba wakipokea vifaa watakavyotumia katika michuano ya ligi kuu soka tanzania bara hivi karibuni .
Hawa ni viongozi wa klabu ya yanga na wao wakipokea vifaa vya timu yao kilimanjaro breweries inadhamini vilabu viwili ambavyo ushiri katika ligi kuu tyanzania bara ambapo vitacheza ngao ya hisani
Mlinda mlango wa klabu ya Simba sports Club juma kaseja akijaribu moja kati viatu walivyopewa na SBL
AHTUMAN IDDY chuji na akijaribu moja viatu ambavyo watavitumia katika msimu wa mwa huu kama unavyoweza kunaona rangi ya kiatu ni ya jangwani
ATHUMANI IDDY NA ABDY KASIM NAO WAKIJARIBU BAADHI YA VIFAA WALIVYOPATA KUTOKA SERENGETI SBL
No comments:
Post a Comment