Afisa ahabari wa shikilisho la soka tanzania frorian kaijage akisisitiza jambo katika ofisi za tff zilipo karume jijini dar es salaam
Timu ya soka ya taifa ya wanawake twig itakwaana na timu ya taifa ya wanawake ya afrika kusin i katika kujiandaa na michuano ya mataifa ya afrika kwa upande wa wanawake .Mchezo huo utafanyika tarehe 24 jumamosi huko afrika kusini ambapo timu ya twiga stars inatarajia kusafiri ijumaa tarehe ishirini tatu.
No comments:
Post a Comment