KAMPUNI YA KUSAFISHA MAFUTA YA RBP IMETOA TIKETI ISHIRINI NA TATU KWA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE TWIGA AMBAYO INATARAJIA KWENDA NCHINI MAREKANI KATIKA MAANDALIZI YA KUCHEZA MICHUANO YA MATAIFA YA AFRIKA KWA WANAWAKE IBRAHIM KHATRUSH NI OPERATION MANAGER WA KAMPUNI PICHANI AKIWA ANAKABIDHI TIKETI HIZO KWA AFSISA HABARI WA TFF FROLIAN KAIJAGE TIMU HIYO ITAONDOKA NA NDEGE YA FLY EMIRATES.
No comments:
Post a Comment