Baada ya kupigwa kwa pointi na bondi MADA MAUGO bondia RASHID MATUMLA amesema sasa hana mpango wa kuendelea na ngumi tena iliyobaki ni kuwafundisha vijana hasa watoto wake ambao wamejikita katika ngumi.
Amesema amekubali amepigwa lakini sheria za ngumi lazima zifuatwe siyo zifanyike kienyeji kama alivyofanya bondia maugo kuchukua grovus zingine na si zilizokuwa zimeandaliwa kwa ajili ya mchezo huo.
MATUMLA amesema mikanda yake anawakabidhi watoto wake ili waweze kuendeleza ngumi katika ukoo wake na nchini kwa ujumla.
janejonh5 .blogspot.com/ understand

No comments:
Post a Comment